Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Habari Mpya


 • ​WAJUMBE WA BARAZA LA WAFANYAKAZI TRC WATEMBELEA MRADI WA UJENZI YA RELI YA KISASA –SGR KIPANDE CHA DAR – MORO
  17
  February
  2020

  ​WAJUMBE WA BARAZA LA WAFANYAKAZI TRC WATEMBELEA MRADI WA UJENZI YA RELI YA KISASA –SGR KIPANDE CHA DAR – MORO

  Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania – TRC watembelea mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa – SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro tarehe 17 Februari 2020. Soma zaidi

 • MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA RELI TANZANIA AFUNGUA BARAZA LA PILI LA WAFANYAKAZI
  15
  February
  2020

  MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA RELI TANZANIA AFUNGUA BARAZA LA PILI LA WAFANYAKAZI

  . Soma zaidi

 • ​SERIKALI YA TANZANIA NA BENKI YA STANDARD CHARTERED ZAWEKEANA SAINI MKOPO WA UJENZI WA RELI YA KISASA – SGR
  13
  February
  2020

  ​SERIKALI YA TANZANIA NA BENKI YA STANDARD CHARTERED ZAWEKEANA SAINI MKOPO WA UJENZI WA RELI YA KISASA – SGR

  Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Fedha na Mipango yatiliana saini makubaliano ya Mkopo wa Shilingi Trilioni 3.3 za kitanzania kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa reli ya Kisasa – SGR Soma zaidi

 • TRC YAENDELEZA KAMPENI YA UELEWA KUHUSU USALAMA WA MIUNDOMBINU YA RELI NDANI YA TRENI ZA MJINI JIJINI DAR
  08
  February
  2020

  TRC YAENDELEZA KAMPENI YA UELEWA KUHUSU USALAMA WA MIUNDOMBINU YA RELI NDANI YA TRENI ZA MJINI JIJINI DAR

  ​Shirika la Reli Tanzania – TRC linaendelea na kampeni ya uelewa kuzuia ajali na hujuma dhidi ya miundombinu ya reli kwa kutoa elimu kuhusu mambo ya kuzingatia katika maeneo ya miundombinu ya reli kwa abiria wa treni za mijini Dar es Salaam iliyofanyika katika treni inayoelekea Ubungo na Pugu Soma zaidi

 • SHIRIKA LA RELI LASITISHA HUDUMA YA USAFIRI WA TRENI KWA RELI YA KATI
  05
  February
  2020

  SHIRIKA LA RELI LASITISHA HUDUMA YA USAFIRI WA TRENI KWA RELI YA KATI

  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania – TRC Ndugu Masanja Kungu Kadogosa ametangaza kusitisha huduma za usafiri wa treni za abiria na mizigo kwa reli ya kati kutokana na uharibifu wa njia ya reli uliosababishwa na mafuriko Soma zaidi

 • SHIRIKA LA RELI TANZANIA LAFANYA KAMPENI YA UELEWA NDANI YA TRENI YA DELUXE KUTOKA DAR ES SALAAM MPAKA MOSHI
  03
  February
  2020

  SHIRIKA LA RELI TANZANIA LAFANYA KAMPENI YA UELEWA NDANI YA TRENI YA DELUXE KUTOKA DAR ES SALAAM MPAKA MOSHI

  . Soma zaidi