Treni ya abiria ya Deluxe yawasili Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mara ya kwanza ikitokea Dar es Salaam kwa lengo la kufanya majaribio ya njia ili kuhakikisha usalama wa abiria na mali zao
Viongozi wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Dkt. Edmund Mndolwa wametembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro eneo la Vingunguti hadi Stesheni jijini Dar es Salaam Novemba 28, 2019.