Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

TANGAZO LA MABADILIKO YA RATIBA KWA ABIRIA WA TRENI YA KIGOMA24
December
2019

SHIRIKA LA RELI TANZANIA - TRC LINAWATANGAZIA ABIRIA WA TRENI YA KIGOMA MABADILIKO YA RATIBA KUANZIA JUMATATU TAREHE 23 DESEMBA 2019.

TRENI YA DELUXE ITAKUWA IKITOKA DAR ES SALAAM KUELEKEA KIGOMA SIKU ZA JUMATATU NA IJUMAA SAA TISA ALASIRI NA KURUDI SIKU ZA JUMATANO NA JUMAPILI.

HIVYO TRENI ILIYOTAKIWA KUONDOKA JUMANNE TAREHE 24 DESEMBA ITAONDOKA SIKU YA JUMATATU TAREHE 23 DESEMBA 2019 SAA TISA ALASIRI KUELEKEA KIGOMA

ABIRIA WOTE WALIOKATA TIKETI KWA AJILI YA SAFARI YA JUMANNE WAFIKE STESHENI SIKU YA JUMATATU SAA TISA ALASIRI KWA AJILI YA SAFARI.

SHIRIKA LINAOMBA RADHI KWA USUMBUFU UTAKAOJITOKEZA